Matukio ya Hivi Karibuni
20
May
Kukagua zoezi la uandaaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 333 kupitia Progaramu ya Upan...
Msungua Village, Ikungi DC, Singida
Habari Mpya
Angalia zaidiMatangazo
Angalia ZaidiNifanyaje?
Hakuna Taarifa kwa sasaUtumiaji wa Mwongozo wa Upangaji Matumizi ya Ardhi ya Vijiji
Imewekwa: Apr 24, 2018
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi inawatangazia wadau wote wa masuala ya matumizi ya ardhi nchini kutumia mwongozo mpya wa upangaji wa matumizi ya ardhi ulioboreshwa kwa kuzingatia changamoto na hali halisi ya gjarama za upangaji matumizi ya ardhi ya kijiji. Mwongozo huo unapatikana katika tovuti ya Tume