Matukio
Mahali |
Morogoro |
---|---|
Tarehe |
2018-09-05 - 2018-09-07 |
Muda |
08:30am - 16:00pm |
Madhumuni |
To deliberate on land use planning, implementation and management issues |
Event Contents |
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na IUCN imeandaa mkutano wa siku 3 wa Kamati ya Kitaifa ya Kisekta ili kujadili na kuweka mapendekezo ya masuala mbalimbali yanayohusu upangaji, utekelezaji na usimamizi wa matumizi ya ardhi nchini. Kamati hii ya kisekta inaundwa na wajumbe kutoka Wizara na Taasisi za Serikali, Mashirika Binafsi na Asasi za Kiraia |
Washiriki |
Invited Members of the Land Use Planning Technical Commitee only |
Ada ya Tukio |
No fee |
Simu |
0222115573 |
Barua pepe |
info@nlupc.go.tz |