Kufanya Utafiti

Tume ina jukumu la kuimarisha na kuwezesha ukuaji wa taaluma na teknolojia katika matumizi ya ardhi kupitia tafiti na tathmini za usimamizi endelevu wa ardhi. Hivyo Tume inafanya na kuratibu ufanyikaji wa tafiti mbalimbali zinahosiana na upangaji wa matumizi ya ardhi nchini kwa kukusanya na hatimaye kutengeneza kanzidata kwa ajili ya kutoa taarifa juu ya tafiti hizo