Dira na Dhamira

Dira

Kuwa Taasisi yenye uwezo na rasilimali kuongoza na kuwezesha mipango shirikishi ya matumizi ya ardhi kwa maendeleo endelevu

Dhamira

Kuhakikisha utayarishaji na utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi kwa minajili ya usawa na usalama wa miliki za ardhi, kuongeza uzalishaji endelevu wa ardhi, uhifadhi wa mazingira na bio- anuwai.