Matukio

Mahali

Mtumba, Dodoma

Tarehe

2025-12-17 - 2025-12-17

Muda

08:00 - 14:00

Madhumuni

Hafla hiyo inawakutanisha wadau mbalimbali kutoka sekta tofauti, ikidhihirisha dhamira ya Serikali ya kuimarisha uratibu, uendelevu na ushirikishwa

Event Contents

Hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Ufundi ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi inafanyika kwa lengo la kuizindua rasmi Kamati hiyo yenye jukumu la kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu uandaaji, usimamizi na utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi nchini.

Hafla hiyo inawakutanisha wadau mbalimbali kutoka sekta tofauti, ikidhihirisha dhamira ya Serikali ya kuimarisha uratibu, uendelevu na ushirikishwaji katika upangaji wa matumizi ya ardhi kwa maendeleo ya kijamii, kiuchumi na uhifadhi wa mazingira.

Washiriki

Minister for Lands

Permanent Secretary - Lands

Director General - NLUPC

Land Use Technical Committee

NLUPC Management

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz