Matukio
28
Mar
Mkutano wa Wadau wa Upangaji, Usimamizi na Utekelezaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi nchini
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imeandaa Mkutano utakaowakutanisha wadau mbalimbali wa ndani na nje ya Serikali wanaohusika na Uandaa...
OSHA Building Conference Hall, Dodoma
15
Mar
Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii itafanya ziara ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Upangaji Matumizi ya Ardhi nchini. Ziara...
Nkwae & Ntondo Villages, Singida District Council
28
Oct
Mafunzo ya Uandaaji Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji, Ukumbi wa SHIPPO, Njombe, Tanzania
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi itaendesha mafunzo kwa wataalamu wanaounda Timu za Upangaji na Usimamizi...
SHIPPO Conference Hall, Njombe, Tanzania
12
Nov
Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Mandhari Mbalimbali za Afrika, Tarehe 12 - 15 Novemba 2019 Katika Ukumbi wa AICC, Jijini Arusha - Tanzania
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Taasisi ya EcoAgriculture imeandaa Mkutano wa Kimata...
Arusha International Conference Centre, Arusha - Tanzania
06
Feb
Workshop on Land Use Planning, Administration and Management in Tanzania: Overview of Processes and Inclusiveness
The workshop on land use planning, administration and management in Tanzania is organized by the National Land Use Pla...
IHSS Conference Hall at Ardhi University - (6 February, 2019)