Matukio

Mahali

Kigala Village, Makete, Njombe

Tarehe

2023-07-01 - 2023-07-01

Muda

09:00 - 16:00

Madhumuni

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Antony Sanga anatarajiwa kutembelea na kukagua kazi ya uwezeshaji wa Uandaaji wa Mipango ya

Event Contents

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Antony Sanga anatarajiwa kutembelea na kukagua kazi ya uwezeshaji wa Uandaaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 44 na Umilikishaji Ardhi kupitia Hati za Hakimiliki za Kimila katika Wilaya ya Makete

Washiriki

Katibu Mkuu, Mh. Mbunge, Viongozi wa Halmshauri, Wataalamu na Wananchi

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz