Matukio

Mahali

Makibo, Tumaini & Ukumbisiganga

Tarehe

2025-10-25 - 2025-10-25

Muda

08:00 - 14:00

Madhumuni

Kuzindua zoezi la Ugawaji Hati za Hakimiliki za Kimila kwa wananchi

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Halmashauri za Wilaya za Sikonge, Urambo na Kaliua itaanza Ugawaji wa Hati za Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Vijiji vya Makibo, Zugimlole, Tumaini na Ukumbisiganga zilizoandaliwa mara baada ya Vijiji hivyo kuandaliwa Mipango wa Matumizi ya Ardhi kupitia Mradi Shirikishi wa Misitu ya Miombo ya Nyanda Kame Tanzania (Integrated Landscape Management in Dry Miombo Woodlands of Tanzania).

Washiriki

Mkuu wa Wilaya ya Mlele

Viongozi wa Tume

Viongozi wa TFS

Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

Wataalamu NLUPC/TFS

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz