Matukio

Mahali

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mara

Tarehe

2024-09-20 - 2024-09-20

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Kuwasilisha kwa Wadau Rasimu ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Mkoa wa Mara na Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Kanda ili kupata maoni ya wadau kabl

Event Contents

Kuwasilisha kwa Wadau Rasimu ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Mkoa wa Mara na Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Kanda ili kupata maoni ya wadau kabla ya kuidhinishwa na kuanza utekelezaji wake

Washiriki

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mara

Katibu Tawala Mkoa

Kamishna wa Ardhi Msaidizi wa Mkoa

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz