Matukio

Mahali

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Shinyanga

Tarehe

2024-09-05 - 2024-09-05

Muda

08:00 - 04:00

Madhumuni

Kuwasilisha rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi wa Mkoa na kupata maoni ya wadau.

Event Contents

Kikao Kazi cha Wadau kwa ajili ya kujadili rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi wa Mkoa wa Shinyanga uliandaliwa na Tume ya Taifa ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi kwa kushirkiana na Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za Wilaya zinazounda Mkoa huo

Washiriki

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga

Katibu Tawala wa Mkoa

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi

Wakuu wa Idara

Wadau

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz