Matukio

Mahali

Morena Hotel, Dodoma

Tarehe

2024-04-22 - 2024-04-24

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Upangaji, Usimamzi na Utekelezaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi nchini

Event Contents

Kikao Kazi cha Wadau wanaohusika na Uwezeshaji wa Uandaaji, Usimamizi na Utekelezaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi Nchini

Washiriki

Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mkurugenzi Mkuu, Wataalamu wa Tume na Wadau kutoka ndani na nje ya Serikali.

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz