Matukio

Mahali

Tandala, Makete, Njombe

Tarehe

2023-10-27 - 2023-10-27

Muda

08:00 - 14:00

Madhumuni

Utoaji wa Hati za Hakimiliki za Kimila

Event Contents

Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango atafanya ziara katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe ambapo moja ya shughuli atakazozifanya ni kukabidhi Hati za Hakimiliki za Kimila zilizoandaliwa na Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halamashauri ya Wilaya ya Makete

Washiriki

Viongozi wa Mkoa, Wilaya, Kata, Vijiji na Wananchi

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz