Matukio
Mahali |
Makete, Njombe |
---|---|
Tarehe |
2023-06-15 - 2023-06-15 |
Muda |
08:00 - 16:00 |
Madhumuni |
Kuhamasisha upangaji, upimaji na umilikishaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha ngano |
Event Contents |
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halamashauri ya Wilaya ya Makete inatarajiwa kuwezesha uandaaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Ardhi ya Vijiji 44, kupima na kumilikisha wananchi ardhi kupitia Hatimiliki za Kimila |
Washiriki |
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Halmashauri ya Wilaya ya Makete |
Barua pepe |
dg@nlupc.go.tz |