Matukio

Mahali

Ukumbi wa Jiji, Mtumba, Dodoma

Tarehe

2025-02-28 - 2025-02-28

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kitafanyika Jijini Dodoma kwa ajili ya Kupokea, Kujadili na Kupitisha Mpango wa Bajeti wa Tume kwa Mwaka wa Fedha 2

Event Contents

Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kitafanyika Jijini Dodoma kwa ajili ya Kupokea, Kujadili na Kupitisha Mpango wa Bajeti wa Tume kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

Washiriki

Mwenyekiti wa Baraza

Wajumbe

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz