Matukio

Mahali

AICC, Arusha, Tanzania

Tarehe

2024-08-27 - 2024-08-30

Muda

08:00 - 04:00

Madhumuni

Mikakati ya Kupanua biashara au huduma nje ya nchi ya Tanzania na kupata uzoefu kutoka nchi nyingine

Event Contents

Kikao kazi cha kila mwaka kinachoandaliwa na Msajili wa Hazina na kuwakutanisha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Serikali. Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi inawakilishwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Joseph C. Mafuru

Washiriki

Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wahe. Mawaziri

Makatibu Wakuu

Wenyeviti wa Bodi

Watendaji Wakuu wa Mashirika na

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz