Matukio

Mahali

Mwamala, Nzega

Tarehe

2024-10-25 - 2024-10-25

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Hafla ya uzinduzi wa ugawaji wa Hati za Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Vijiji vya Seki na Buduba katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoan

Event Contents

Baada ya kuandaliwa mipango ya matumizi ya ardhi ya Vijiji vya Seki na Buduba, wananchi zaidi ya 1,300 wataanza kupatiwa Hati za Hakimiliki za Kimila

Washiriki

Mh. Mkuu wa Wilaya

DED

NLUPC

Wananchi

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz