Matukio
Mahali |
Bungeni, Dodoma |
---|---|
Tarehe |
2023-05-25 - 2023-05-26 |
Muda |
09:00 - 20:00 |
Madhumuni |
Kuwasilisha, Kujadili na Kupitisha bajeti ya Wizara |
Event Contents |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Dkt. Angeline Mabula anawasilisha Bungeni makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fungu namba 48 la Wizara, pamoja na Fungu namba 03 la Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi |
Washiriki |
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
Barua pepe |
dg@nlupc.go.tz |