Matukio
Mahali |
Kijiji cha Mtakuja, Mlele, Katavi |
---|---|
Tarehe |
2025-01-10 - 2025-01-10 |
Muda |
08:00 - 16:00 |
Madhumuni |
Kuzindua zoezi la Ugawaji Hati za Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Kijiji cha Mtakuja |
Event Contents |
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele itaanza Ugawaji wa Hati za Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Kijiji cha Mtakuja zilizoandaliwa mara baada ya Kijiji hicho kuandaa Mpango wa Matumizi ya Ardhi kupitia Mradi Shirikishi wa Misitu ya Miombo ya Nyanda Kame Tanzania (Integrated Landscape Management in Dry Miombo Woodlands of Tanzania). |
Washiriki |
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Viongozi wa Tume Viongozi wa TFS Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Wataalamu NLUPC/TFS |
Barua pepe |
dg@nlupc.go.tz |