Matukio

Mahali

Namkatila, Ruangwa DC, Lindi

Tarehe

2024-03-13 - 2024-03-13

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii kukagua utekeleaji wa Mradi wa Upangaji Matumizi ya Ardhi nchini

Event Contents

Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii kukagua utekeleaji wa Mradi wa Upangaji Matumizi ya Ardhi nchini

Washiriki

Kamati ya Bunge, Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Naibu Katibu Mkuu, Mkurugenzi Mkuu.

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz