Utumiaji wa Mwongozo wa Upangaji Matumizi ya Ardhi ya Vijiji

Imewekwa: Apr 24, 2018


Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi inawatangazia wadau wote wa masuala ya matumizi ya ardhi nchini kutumia mwongozo mpya wa upangaji wa matumizi ya ardhi ulioboreshwa kwa kuzingatia changamoto na hali halisi ya gjarama za upangaji matumizi ya ardhi ya kijiji. Mwongozo huo unapatikana katika tovuti ya Tume