Matukio
Mahali |
Arusha International Conference Centre, Arusha - Tanzania |
---|---|
Tarehe |
2019-11-12 - 2019-11-15 |
Muda |
0830am - 1730 |
Madhumuni |
Sharing experiences and inculcate knowledge of cross-sector approaches for sustainable rural development |
Event Contents |
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Taasisi ya EcoAgriculture imeandaa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Mandhari mbalimbali katika Bara la Afrika (African Landscapes Dialogue) uliopangwa kufanyika Jijini Arusha, Tanzania kuanzia tarehe 12-15 Novemba 2019 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Arusha (AICC). Lengo kuu la uendeshaji wa makongamano haya ni kuwakutanisha wadau mbalimbali katika Afrika na nje ya Afrika kuweza kujadili, kujifunza na kuainisha mambo muhimu ya kuzingatia ili kudumisha ushirikiano na kuboresha mandhari mbalimbali za Bara la Afrika. |
Washiriki |
Only registered national and international participants |
Ada ya Tukio |
USD 350 |
Simu |
022242424 |
Barua pepe |
info@nlupc.go.tz |