Matukio

Mahali

NLUPC Conference Hall, Dodoma

Tarehe

2023-01-18 - 2023-01-19

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Capacity building

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi itaendesha mafunzo ya Uandaaji wa Mipango ya Matumizi ya Wilaya kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Milki za Ardhi nchini (LTIP) unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Washiriki

Wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Halmashauri husika

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz