Matukio

Mahali

Anglican Hall, Kigoma

Tarehe

2022-07-27 - 2022-07-27

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kukusanya maoni ya Wadau

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halamashauri ya Wilaya ya Kigoma na Shirika la Jane Goodall imeandaa kikao cha wadau kwa lengo ya kukusanya maoni yatakayotumiak kuandaa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.

Washiriki

Viongozi wa Wilaya, Wataalamu na Wadau wa Matumizi ya Ardhi - Kigoma DC

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz