Matukio

Mahali

NSSF Conference Hall, Kigoma

Tarehe

2022-09-02 - 2022-09-02

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kuwasilisha Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma inawasilisha Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa Wadau wa Halmashauri hiyo.

Washiriki

Viongozi wa Wilaya, Wataalamu na Wadau Matumizi ya Ardhi - Kigoma DC

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz