Matukio

Mahali

NLUPC Conference Hall, Dodoma

Tarehe

2023-03-23 - 2023-03-23

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Kikoa cha Baraza la Wafanyakazi kupokea na kujadili utekelezaji wa shughuli za Tume kwa mwaka wa fedha 2022/2023, pamo

Event Contents

Kikoa cha Baraza la Wafanyakazi kupokea na kujadili utekelezaji wa shughuli za Tume kwa mwaka wa fedha 2022/2023, pamoja na kupokea, kujadili na kuthibitisha maoteo ya Bajeti ya Tume kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Washiriki

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi NLUPC

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz