Matukio

Mahali

SHIPPO Conference Hall, Njombe, Tanzania

Tarehe

2021-10-28 - 2021-10-30

Muda

08:00 - 17:00

Madhumuni

Kujengea uwezo PLUM Teams

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi itaendesha mafunzo kwa wataalamu wanaounda Timu za Upangaji na Usimamizi wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi kutoka Halmashauri za Wilaya za Wang'ing'ombe, Njombe, Ludewa na Mufindi.

Washiriki

Timu za Upangazi na Usimamizi wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi za Wilaya (PLUM Teams)

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz