Matukio

Mahali

Nzega Town, Tabora

Tarehe

2022-06-22 - 2022-06-22

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kuwasilisha Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Nzega DLUFP)

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega imekamilisha uandaaji wa Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Halmashauri ya Nzega ambapo inawasilishwa kwa Wadau wa Halmashauri hiyo kwa ajili ya kupata maoni.

Mgeni Rasmi wa Mkutano huo ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. Dkt. Angeline Mabula.

Washiriki

NLUPC - Wadau

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz