Matukio

Mahali

Ngorongoro District Conference Hall, Wasso, Loliondo

Tarehe

2023-03-31 - 2023-03-31

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Kuwasilisha na kutoa maoni kuhusu Mpango wa Matumizi ya Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imekamilisha uandaaji wa Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Halmashauri ya Ngorongoro ambapo inawasilishwa kwa Wadau wa Halmashauri hiyo kwa ajili ya kupata maoni.

Washiriki

Wadau wa Uandaaji, Usimamzi na Utekelezaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz