Matukio

Mahali

OSHA Building Conference Hall, Dodoma

Tarehe

2022-03-28 - 2022-03-29

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kujadili Mipango ya Matumizi ya Ardhi, Uwekezaji na Utatuzi wa Migogoro kwa MAendeleo endelevu nchini

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imeandaa Mkutano utakaowakutanisha wadau mbalimbali wa ndani na nje ya Serikali wanaohusika na Uandaaji, Usimamizi na Utekelezaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi nchini.

Washiriki

NLUPC na Wadau

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz