Matukio

Mahali

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC), Nsimbo, Katavi

Tarehe

2022-08-29 - 2022-08-29

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kuwasilisha Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi wa Halmashauri ya Nsimbo

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halamashauri ya Nsimbo na Shirika la Jane Goodall imeandaa kikao cha wadau kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Halmashauri ya Nsimbo

Washiriki

Viongozi wa Wilaya, Wataalamu na Wadau wa AMtumizi ya Ardhi, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Katavi.

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz