Matukio

Mahali

Ngorongoro District Conference Hall, Wasso, Loliondo

Tarehe

2023-02-28 - 2023-02-28

Muda

08:00 - 16:00

Madhumuni

Kukusanya maoni kwa ajili ya kuandaa mpango wa matumizi ya ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Event Contents

Mkutano wa wadau kwa ajili ya uandaaji wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nggorongoro

Washiriki

Wadau wa uandaaji, usimamizi na utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz