Matukio

Mahali

OSHA Building Conference Hall, Dodoma

Tarehe

2022-06-24 - 2022-06-24

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kupitia na Kujadili utekelezaji kazi 2021/2022 na Bajeti ya Tume kwa mwaka wa fedha 2022/2023

Event Contents

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imeunda Baraza la Wafanyakazi wa Tume linalojumuisha Menejimenti ya Tume, Chama Cha Wafanyakazi (TUGHE) Tawi la Tume, Wawakilishi kutoka Idara, Kanda Wanawake pamoja na Vijana.

Mgemi Rasmi Katika kikao hiki ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ndg. Nicholas Mkapa

Washiriki

Wajumbe wa Baraza

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz