Matukio

Mahali

Nkwae & Ntondo Villages, Singida District Council

Tarehe

2022-03-15 - 2022-03-15

Muda

08:00 AM - 04:00 PM

Madhumuni

Kukagua Mradi wa Upangaji Matumizi ya Ardhi Nchini

Event Contents

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii itafanya ziara ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Upangaji Matumizi ya Ardhi nchini. Ziara hiyo italenga utekelezaji wa mradi huo katika vijiji vinavyopitiwa na Mradi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) katika Wilaya ya Singida, Mkoani Singida

Washiriki

Waheshimiwa Wabunge wa Kamati, Mh. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mkurugenzi Mkuu - NLUPC, Viongozi wa Wizara ya Ardhi, Viongozi w

Barua pepe

dg@nlupc.go.tz